LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2021

ASKOFU GWAJIMA AKIKATAA KITI, KIPAZA SAUTI KABLA YA KUHOJIWA



Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima akiomba kubadilishiwa kiti alichoandaliwa  kukaa wakati kikao cha kuhojiwa na tayari kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu tuhuma za kusema uongo  na kushusha hadhi na heshima ya Bunge jijini Dodoma leo
 Agosti 23,2021. Pia aliomba abadilishiwe kipaza sauti.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Askofu Gwajima akikalia kiti baada ya kubadilishiwa.

Akiweka sawa kipaza sauti baada ya kubadilishiwa


Askofu Gwajima akiwa amekaa tayari kwa  kuhojiwa.


Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka akiongoza kikao hicho.
Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa kwenye kikao hicho.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages