LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 2, 2021

WAZIRI NDUMBALO ATIA SAINI KANUNI ZA JESHI LA UHIFAFHIA NA AMRI ZA JESHI HILO, LEO.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro akitia saini Kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi hilo wakati wa kikao kilichofanyika ukumbi wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara na kuwahusisha Makamishna wa uhifadhi,Manaibu Kamishna,Wakuu wa Kanda,Wakuu wa hifadhi, Mapori, Misitu na wakuu wa idara za ulinzi huku zoezi hilo likishuhudiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Maryprisca Masanja (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt Allan Kijazi.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro akikabidhi bahasha yenye kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi hilo kwa Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dkt Allan Kijazi muda mfupi mara baada ya kusainiwa.Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Maryprisca Masanja akishuhudia makabidhiano hayo.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages