LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2021

WAZIRI JENISTA, NAIBU WAZIRI CHANDE NA WAGENI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 45 YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Julai 5, 2021

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Herman Berege akifafanua jambo kuhusu historia ya Bunge mbele ya wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Julai 5, 2021


 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Hamad Hassan Chande (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Habari Ofisi ya Bunge, Zuhura Mtatifikolo mara baada ya kutembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Julai 5, 2021

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages