LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2021

NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AONGOZA KUTOA SALAMU ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU PATRICK MFUGALE IFUNDA IRINGA LEO

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaongoza Viongozi mbalimbali na Waombolezaji kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale, tukio hilo limefanyika nyumbani kwa marehemu Ifunda, Iringa ambapo ndipo mwili wake utazikwa.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages