LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 1, 2021

SHERIA YA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA-TANZANIA INA MASLAHI MAKUBWA KWA TAIFA-RIDHIWANI KIKWETE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete akichangia bungeni kuhusu muswada wa Sheria ya Bomba la Mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga, amesema kuwa ina maslahi makubwa kwa Tanzania. 

Muswada huo umeshapitishwa na Bunge unasubiri baraka ya kutiwa saini na Rais Samia Suluhu Hassani.

 Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ridhiwani akichangia juu ya suala hilo bungeni....  

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages