Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Halima Okash akikabidhiwa ofisi na Mkuu wa Wilaya aliyepita, Albinus Mugonya ambapo mara baada ya kukabidhiwa alianza kazi mara moja kwa kutembelea na
kukagua miradi mbalimbali ya maendeleleo inayotekelezwa wilayani
humo. |
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇