Mbunge wa Mwanga,Mh Joseph Tadayo (katikati) akishuhudia wakati wa kukabidhi jozi 300 za jezi za mpira wa miguu kwa viongozi wa chama cha mpira Mwanga (MWAFDA) pamoja na Afisa michezo wa Wilaya kwa ajili ya maandalizi ya ligi ya wilaya.
*KAZI IENDELEE* |
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇