*Kazi inaendelea..........*
Katika muendelezo ziara ya kushukuru, kukagua miradi na utekelezaji wa Ilani ya CCM, Mbunge Jimbo la Lupa-Chunya Mhe Masache Kasaka hivi karibuni ameitembelea kata ya Matwiga na kufanya mikutano vijiji vya Mazimbo, Matwiga na Isangawana. Amekabidhi mifuko 50 ya simenti kituo cha Afya Matwiga na kuchangia mifuko 50 ya simenti nyumba ya Mwalimu Mazimbo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇