LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2021

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AREJEA NCHINI KUTOKA UFARASA, LEO

Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango akiwasalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na Usalama baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo, akitokea Paris nchini Ufaransa kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa  Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa ( Generation Equality Forum). Picha na Ofisi ya Najamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages