Helen Mukama
CCM Lumumba, leo
Aliyekuwa Katibu Muhtasi Mwandamizi Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Mama Helen Mukama amefariki Dunia.
Taarifa kwa Watumishi wa CCM iliyotolewa na Mkuu wa Utawala Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam, Robert Mwijage imesema Mama Mukama amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇