LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2021

KANALI MSTAAFU LUBINGA AKARIBISHWA KIMILA MBARALI


 KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga, akivishwa mgolole na Mzee Michael Chalamila, alipowasili katika shina namba moja Mkunywa, kata ya  Madibila, katika wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya,
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Komredi Ngemela Lubinga, akizungumza na wanachama wa shina namba moja Mkunywa, kata ya Madibila, katika wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya, Julai 12,2021.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages