Makurumla, Ubungo
Diwani Kata ya Makurumla Ubungo jijini Dar es Salaam, Bakari Kimwanga leo ataunguruma katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kuanzia saa 9 alasiri katika Viwanja vya Mtaa wa kwa Jongo katika Kata hiyo.
Wananchi wote hususan wanachama na wapenzi wa CCM wametakiwa kuhudhuria mkutano huo ili kumsikiliza diwani huyo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇