Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM) (Dkt. Gaudentia Kabaka akitangaza Tamko la Baraza Kuu la UWT Taifa la kumpongeza Rais kwa Ujasiri, Ubora, Uadilifu na Uaminifu alionao wakati wa Mkutano wa Baraza hilo lililofunguliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwenye Ukumbi wa Nec (White House), jijini Dodoma Juni 26, 2021. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video usikilize pongezi nyingi zilizomo kwenye tamko hilo....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri blog ya Taifa ya CCM
075424203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇