LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 24, 2021

RAIS SAMIA ALIPOTOKA MSUMBIJI BAADA YA KIKAO CHA SADC NA KULAKIWA DODOMA NA MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO, JANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji baada ya Kikao cha dharura cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jana, Juni 23, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano Maputo Msumbiji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango  alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana, Juni 23, 2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Kikao cha dharura cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages