LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 26, 2021

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA TANZANIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa 12 wa Baraza hilo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Wajumbe wakimsiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza hilo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages