LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 19, 2021

RAIS DK. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, IKULU ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduzI Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki walioketi kushoto kwake, Jaji Nestor Kayobera na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mudrik Ramadhan Soroga na kulia kwake, Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga Karoli.(Picha zote na Ikulu, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages