LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 26, 2021

GLORY ALBERT ALIVYOMEREMETA BAADA YA KUPATA KOMUNIO, LEO

Glory Albert Lucas wa akipongezwa na Mama yake, Flora Zakaria na Dada yake Aggy ( kulia) wakati kwa kupokea Komunio ya kwanza, katika Kanisa Katoliki, leo na baadaye ikaendelea sherehe kamambe nyumbani kwao Mbezi, Kawe Dar es Salaam. Hongera sana Glory.







Baba Glory akipata chakula na majirani kwenye sherehe hiyo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages