LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2021

YANGA YAIBAMIZA JKT 2-0 DODOMA LEO

Mashabiki wa Yanga wakishangilia goli la kwanza dhidi ya JKT katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma leo Mei 19, 2021.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baao la kwanza lililofungwa na mchezaji Yocouba
Goli la kwanza la Yanga dhidi ya JKT  lililofungwa na Yocouba
Bao la pili la Yanga lililofungwa na Tuisila Kisinda
Yocouba akishangilia baada ya kuifungia Yanga bao la kwanza

Kikosi cha Yanga
Kikosi cha JKT
Mashabiki wa Yanga wakifurahia ushindi




Ni mtanange kwa kwenda mbele

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages