LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 17, 2021

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI NA WA MAHAKAMA KUU, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Majaji wapya saba wa Mahaka ya Rufani na Majaji 21 wa Makama Kuu, katika hafla iliyofanyika, Ikulu jijini Dar es Salaam. zifuatazo ni picha za matukio ya kuapishwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.👇
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Ikulu Dk. Moses Kusiluka (kulia waliokaa) wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufani baada ya kuwaapisha, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Patricia Salehe Fikirini kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Penterine Kente kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lilian Leonard Mashaka kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha   Dkt. Paul Faustine Kihwelo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lucia Gamuya Kairo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Issa John Maige kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abraham Makofi Mwampashi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages