LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 17, 2021

NAIBU KATIBU WA CCM BARA CHRISTINA MNDEME AONGOZA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA NEC YA CCM KUZURU KABURI LA DK. MAGUFULI, LEO

Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Bara  Christina Mndeme leo tarehe 17/5/2021 wamezuru kaburi la  aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Chato mkoani Geita.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme na ujumbe wake, wakiwa mbele ya eneo lilimo kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais, Hayati Dk. John Magufuli, baada ya kulizuru kaburi hilo, leo.
 
Eneo la kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme akizungumza baada ya yeye na ujumbe wake kuzuru kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita, leo nyuma yake upande wa kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.

TAARIFA👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages