LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 29, 2021

RAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA KASKAZINI “B”

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa CCM Wilaya ya Kaskazini B Unguja alipofika Ofisi za   CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini akiwa katika ziara  ya kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho

Baadhi ya Viongozi walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi za   CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kusalimiana na Viongozi mbali mbali wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” leo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mhe.Iddi Ali Ame   (kushoto)   pamoja na Viongozi wengine wakiikmba wimbo wa Chama baada ya kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za   CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini akiwa katika ziara  ya kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika  kuzungumza na kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za   CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama hicho wa Wilaya ya Kaskazini “B” katika mkutano wa kuwashukuru uliofanyika leo katika  Ofisi za   CCM Mahonda (kushoto)  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mhe.Iddi Ali Ame na (kulia) Maalim Kombo Hassan Juma Katibu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa pia  Kaimu  Naibu  Katibu Mkuu CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja katika mkutano wa kuwashukuru uliofanyika leo katika  Ofisi za   CCM Mahonda  .

Baadhi ya  Viongozi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi  (hayupo pichani)  wakati alipokuwa akizungumza na  Viongozi hao na  Wananchi pamoja na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja katika mkutano wa kuwashukuru uliofanyika leo katika  Ofisi za   CCM Mahonda  

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM BI.Mwanaidi Saidi kutoka Bumbwini alipokuwa akichangia katika mkutano wa kuwashukuru  Viongozi, Wananchi pamoja na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja   uliofanyika leo katika  Ofisi za   CCM Mahonda  .

 

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages