Mbunge wa Kisesa, Meatu mkoani Simiyu, Luhaga Mpina (aliyevaa tai nyekundu) akiwa na wasomi wa vyuo wazaliwa wa Kisesa aliowaalika kutembelea Bunge, Dodoma leo Mei 11,2021.
Wasomi wa vyuo walioalikwa bungeni na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina wakifuatilia muenendo wa bunge wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Mbunge Mpina akiwa na wanafunzi karibu na lango kuu la kuingilia bungeni.
Mpina akipiga picha za kumbukumbu na wanafunzi hao kutoka vyuo mbalimbali nchini
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinzia, Wazee na Watoto. Dkt. Doroth Gwajima akiwa na wanafunzi hao kwenye viwanja vya Bunge. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Your Ad Spot
May 11, 2021
MBUNGE MPINA AWAALIKA BUNGENI WASOMI WA KISESA
Tags
Elimu#
featured#
Share This
About Richard Mwaikenda
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇