Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni Dodoma kushiriki kikao cha maswali na majibu pamoja na mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maji ambayo imehitimishwa leo. Kutoka kushoto ni Mbungewa Nyamagana, Stanslaus Mabula, Mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama na Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja akiingia bungeni Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo akiingia bungeni Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila
Baadhi ya wageni wakiwa bungeni Dodoma kujifunza mwenendo wa Bunge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi bungeni Dodoma.
Sehemu ya wageni wakiangalia mwenendo wa Bunge wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maji.
Mbunge wa Kishapu, Boniphace Butondo akichangia hoja wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maji.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇