Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Jimbo la Buhigwe, Wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo hilo unaofanyika leo, Jumapili, Mei 16, 2021.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango, alipokuwa akihakikiwa ili kupata karatasi ya kupiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Wilayani Buhigwe MKoani Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.
Your Ad Spot
May 16, 2021
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇