LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 20, 2021

KAPINGA AIBANA SERIKALI UJENZI WA BARABARA MUHIMU MBINGA VIJIJINI+video

 Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga ameitaka Serkali kumpatia majibu yanayoeleweka kuhusu ujenzi wa barabara za Kitai na Lituhi na Mbamba Bay hadi Litembo ahadi iliyotolewa na serikali kwa muda mrefu pamoja na ahadi iliyotolewa na Rais wakati wa zira yake wilayani humo.

 Kapinga alifikia hata kutishia kushika shilingi ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wakati wa Mkutano wa Tano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma. 

 Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kapinga akipambania ujenzi wa barabara jimboni kwake.... 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages