Muft wa Tanzania Sheikh Mkuu Aboubakar Zubery, akitangaza kutoonena kuandama kwa mwezi leo jioni.
Muft wa Tanzania Sheikh Mkuu Aboubakary Zuber amesema, Sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa keshokutwa Siku ya Ijumaa na siyo kesho kama ilivyokuwa inatarajiwa na wengi.
Amesema kesho Waislam wa Tanzania aataendelea kufunga hadi Siku ya Ijumaa, kukamilisha siku 30 kwa kuwa mwezi haukuonekana popote hapa nchini.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇