LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU, BAADHI YA MAKAMISHINA NA WAKUU WA TAASISI, LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021. 
Baadhi ya Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makakatibu Wakuu, Manaibu  Makatibu Wakuu, Makamishina na Wakuu Taasisi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021
Baadhi ya Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makakatibu Wakuu, Manaibu  Makatibu Wakuu, Makamishina na Wakuu Taasisi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021. Mbele ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages