Waziri Mkuu akipiga kura kuchagua viongozi wa Bunge Sports Club wakati wa uchaguzi uliofanyika Aprili 12,2021 kwenye ukumbi wa Msekwa, bungeni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Wagombea ujumbe wa Klabu hiyo wakiwa jukwaa kuu kujitambulisha
Wagombea ujumbe wanawake wakijitambulisha kwa wajumbe
Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson aliyekuwa Mwenyekiti wa uchaguzi huo akitoa maelekezo
Wajumbe wakipiga kura
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akiwaonoza wabunge na maofisa wa Bunge kupiga kura za kuwachagua viongozi wa Bunge Sports Club na kuwapa neno kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Aprili 12, 2021.
Viongozi waliochaguliwa ni;
Mwenyekiti ni Abbas Tarimba
Makamu Mwenyekiti
Esther Matiku
Meneja wa Klabu
Seif Gulamali
Wajumbe ni;
Ridhiwani Kikwete, Anna Lupembe, Rose Tweve, Stanslaus Mabula na Aeshi Hillal
Mdau nakuomba uendelee kumsikiliza kupitia kweny clip hi ya video Waziri Mkuu Majaliwa akitoa neno kwa wajumbe wa uchaguzi huo....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇