LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 13, 2021

SERIKALI MSIWANYANYASE WAVUVI, WAPATIWE MIKOPO-MBUNGE AGNES MARWA+video

 MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa akielezea mchango wake kwenye viwanja vya Bunge Dodoma Aprili 12, 2021 kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Taifa, ambapo aliiomba serikali kuwanyanyasa wavuvi kwa kuchoma nyavu zao bali iwawekee mazingira mazuri wa kwa kuwapatia mikopo na kuwajengea mazingira mazuri ya kazi yao.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mbunge Agnes Marwa akichangia mchango wake huo.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages