LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 19, 2021

WANAFUNZI WA FOUNTAIN WAFURAHI KUKUTANA NA WAZIRI NDALICHAKO BUNGENI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Fountain of Joy Nursery & Primary ya Dar es Salaam, Davis Kinanda (kushoto) wa darasa la Saba na Delson Kinanda wa darasa la Nne waliokwenda hivi karibuni bungeni kujifunza mwenendo wa Bunge. 

Wanafunzi hao walifurahi kukutana na waziri huyo mwenye dhamana ya elimu nchini, ambapo aliwauliza maswali mbalimbali na kumjibu kwa ufasaha.


Pia wanafunzi hao walioneshwa kufurahishwa na jinsi Bunge linavyoendeshwa kwa kumuona mbashara Spika wa Bunge, wamepania kusoma zaidi ili baadaye nao waje kuwa wabunge. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Profesa Ndalichako akiwa na wanafunzi hao pamoja na Patrick Nasola mmoja wa maofisa wa Bunge.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages