LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 21, 2021

SPIKA NDUGAI AAGIZA WABUNGE NA MAWAZIRI WOTE KUWEPO BUNGENI RAIS SAMIA AKILIHUTUBIA BUNGE+video

 Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaagiza wabunge na mawaziri wote kesho Alhamis Aprili 22, 2021 kuwepo bungeni wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge na Taifa.

Agizo hilo amelitoa leo wakati wa kikao cha Bunge, jijini Dodoma. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video, Spika Ndugai akitoa agizo hilo... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages