LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 21, 2021

KAMILISHENI HARAKA UJENZI WA VETA LUDEWA, WAPATIKANE WATAALAM WA LIGANGA, MCHUCHUMA-KAMONGA+video


 Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga ameihoji Serikali leo Bungeni Dodoma, kwamba ni lini itakamilisha ujenzi wa Chuo cha Veta Shaurimoyo kilichopo Ludewa ili kuzalisha watalaam watakao saidia kutekeleza mradi wa Liganga na Mchuchuma utakapoanza?

Mdau endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kamonga akihoji swali hilo na jinsi alivyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Juma Kipanga.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages