LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 19, 2021

RAIS SAMIA KULIHUTUBIA BUNGE ALHAMISI APRILI 22, 2021+video

 Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza leo bungeni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Bunge Alhamis Aprili 22, 2021.

Amesema kuwa baada ya kulihutubia Bunge, Rais Samia amewaandalia wabunge na wageni wengine futari katika maeneo ya Bunge, jijini Dodoma. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Ndugai akitoa taarifa hiyo Bungeni Dodoma..... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages