LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 23, 2021

MWANYIKA AIHOJI SERIKALI BUNGENI NI LINI UKARABATI WA KITUO CHA AFYA MJIMWEMA NJOMBE UTAFANYIKA?

 Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika amehoji bungeni kwamba ni lini Ofisi ya Rais, Tamisemi, itakifanyia ujenzi na ukarabati Kituo cha Afya cha siku nyingi cha Mjimwema kilichopo Njombe Mjini?

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiuliza swali hilo na kujibiwa na Naibu Waziri wa Tamisemi, Festo Ndugange... Imendaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages