LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 11, 2021

MBUNGE MHATA AIBANA SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NANYUMBU

Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu, Yahya Mhata ameihoji Serikali bungeni kwamba ni lini uwekaji mtandao wa miundombinu ya maji utatekelezwa jimboni kwake? Swali hilo lilijibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprica Mahundi kwamba Bwawa la Maratani ujenzi wake umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu wa Aprili na miradi mingine ya usambazaji wa maji kwa wananchi itatekelezwa na Wakala wa Maji na Usfi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video Mbunge Mhata akiuliza swali hilo huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Mahundi.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages