LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 16, 2021

MBUNGE DKT KABATI AIBANA SERIKALI KUTANGAZA UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI+video



 Mbunge wa wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dkt. Rita Kabati p kipatoamoja na mambo mengine kwa kuhoji bungeni Dodoma leo, kwamba Wizara ina mikakati gani ya kutangaza utalii katika mikoa iliyo Nyanda za Juu Kusini ili kukuza utalii na kuliingizia Taifa.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video, Mbunge Kabati akiuliza maswali na kujibiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages