LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 20, 2021

MBUNGE AGNES MARWA ASHAURI TARURA IONGEZEWE BAJETI, MADIWANI WAONGEZEWE MISHAHARA+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa amechangia Bajeti ya Ofisi ya Rais (Tamisemi) ambapo ameomba Wakala wa Barabara Mijini na Vijiji (Tarura) iongezewe bajeti ili imudu ujenzi wa barabara, pia amepongeza kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan cha kutangaza maboresho ya maslahi ya wafanyakazi lakini pia ameiomba serikali kuwaongezea mishahara madiwani kutokana na kazi kubwa wanayoifanya kwenye kata zao.


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Agnes Marwa akielezea kuhusu mchango wake huo....


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages