LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 21, 2021

KAPINGA AHOJI BUNGENI NI LINI AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA BARABARA MBINGA HADI MATIRI ITATEKELEZWA

 Mbunge wa Mpinga Vijijini Kapinga amehoji bungeni Dodoma Aprili 20, 2021 wakati wa kipindi cha maswali na majibu, kwamba ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya aliyekuwa Makamu wa Rais, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ya kujenga barabara ya Mbinga -Litembo- Kigonsera hadi Matiri kwa kiwango cha lami.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza upitia clip hii ya video, Mbunge Kapinga akizipambania barabara hizo huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Msongwe... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages