LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2021

MAMBO YA BUNGENI DODOMA APRILI 15,2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Waziri Mkuu ni Mkuu wa Shughuli za Serikali bungeni.
 Wabunge, mawaziri na manaibu waziri wakiwa kwenye viwanja vya Bunge leo wakiwahi kuingia bungeni  kuhudhuria Kikao  cha kujadili Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake. PICHA ZOTE  NA RICHARD MWAIKENDA 





























 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages