LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 19, 2021

MAMA SALMA KIKWETE AWAFUNDA WANAFUNZI WA BUNGE GIRLS BUNGENI DODOMA+video


Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akiwafunda wanafunzi wa shule ya wasichana ya Bunge ya Jijini Dodoma alipokutana nao kwenye viwanja vya Bunge leo Aprili 19, 2021 walipokwenda kujifunza kuhusu mwenendo wa Bunge. Mama Salma ni mmoja wa viongozi walioongoza harambee ya kuchangisha fedha za kuanzisha shule hiyo yenye mchepuo wa sayansi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta naye akitoa neno kwa wanafunzi hao.

Mama Salma akiwa na wanafunzi hao


 Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewafunda wanafunzi wa Shule ya Bunge Girls waliofika leo bungeni kujifunza kuhusu mwenendo wa shughuli za bunge.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mama Salma Kikwete akizungumza na wanafunzi hao kwenye viwanja vya Bunge... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264293

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages