LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 18, 2021

GST FUNGUENI OFISI CHUNYA MUWAPUNGUZIE ADHA WACHIMBA MADINI, MAPATO YAONGEZEKE-KASAKA+video

 Mbunge Masache Kasaka wa Chunya jimbo ambalo ni miongoni mwa vinara kwa machimbo ya almasi na dhahabu nchini, ameishauri Serikali kufungua Chunya ofisi za Taasisi ya Jiolojia (GST), inayofanya utafiti wa madini nchini ili kuwapunguzia usumbufu wachimbaji madini kusafiri hadi Dodoma ilipo GST kupima viwango vya madini kwenye udongo.

Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mbunge Kasaka, amesema Serikali ikitekeleza ombi hilo, licha kuwaondolea usumbufu wachimbaji, pia serikali itaongeza wigo wa mapato kutokana na kodi itakayotozwa kupitia kwenye madini yenye ubora ambayo kiwango chake kitaongezeka kutokana na majibu ya haraka ya utafifiti utakaokuwa unatolewa... Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii, Munge Kasaka akitoa mchango wake huo .... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages