Dkt. Jaffary Mohamed kutoka Kituo cha Afya Ngarenaro Hospitali Arusha akizungumza jambo na wananchi waliojitokeza kupata Huduma ya Afya ya Kinywa na Meno Bila Malipo katika Kituo cha Kihaule Ipogolo
Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA) Katika kuelekea Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani Machi 20, 2021 ambapo kitaifa itafanyika Mkoani Iringa.
Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno jana Machi 15, 2021 wamewafikia wananchi takribani 650 katika vituo mbalimbali vikiwemo vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, na Kliniki za afya ya uzazi na mtoto (RCH Kliniki). (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Dkt. Dorah Kiwele akitoa huduma kwa Mmoja wa Wanachi waliojitokeza kupata huduma ya Afya ya Kinywa na Meno Kituo cha Afya Kihaule Ipogolo
ni maeneo gani mengine ambayo huduma hii hufanyika mimi nasapoti juhudi zaa serikali kupitiakipaji changu
ReplyDeletekama tutaambiwa itakuwa vyema maeneo mengine mikoani
ReplyDelete