Na Richard Mwaikenda, Dodoma
ASKOFU Dk. Evance Chande wa Kanisa la EAGT Nazaret, Ipagala jijini Dodoma, amewaomba watanzania kumpa ushirikiano mkubwa Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassani kwani ni Mama mtulivu, jasiri, mama anayejiamini, anayethubutu na asiye na hofu pia hana papala katika utekelezaji mambo hata wakati wa kuongea.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Dk. Chande akielezea kwa wanahabari ofisini kwake jijini Dodoma hivi karibuni kuhusu uhodari wa Rais Samia na kuwataka watanzania kutokuwa na hofu naye na kutothubutu kumdharau kwa kuwa ni mwanamke ana uwezo wa kuitelea nchi maendeleo ...
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇