LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 8, 2021

WANAWAKE WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WAPAMBA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, BAHI, DODOMA

Watumishi wanawake wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa na furaha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo kimkoa wilayani Bahi, Dodoma.
Wanawake wa wizara hiyo wakishiriki maandamano wakati wa maadhimisho hayo. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Munkunda. PICHA NA RIJCHARD MWAIKENDA








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages