LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 8, 2021

MAMA SAMIA AKABIDHIWA TUNZO NA DIAMOND KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Abdul Nasibu (Diamond) kwa kutambua Mchango wake wa hali na mali kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo ya Wanawake na Jamii kwa ujumla, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, leo. Ujumbe wa Maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni 'Wanawake katika uongozi, chachu kufikia Dunia yenye Usawa'

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages