LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 16, 2021

TAIFA STARS YAPIGWA BAO 2-1 DHIDI YA HARAMBEE STARS

 


**********************************

NA EMMANUEL MBATILO

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilishuka jana dimbani  kumenyana na timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kwenye mechi ya kirafiki na kushuhudia taifa stars ikilala kwa mabao 2-1 kwenye mchezo huo.

Harambee Stars ilianza kupata bao dakika ya 21 kupitia kwa nyota wao Kapaito na kuongoza mpaka dakika ya 39 Taifa Stars kusawazisha kupitia kwa Ayoub Lyanga na kwenda mapumziko matokeo yakiwa 1-1.

Kipindi cha pili timu ya taifa ya Kenya iliingia ikiwa inahitaji bao la lingine na kuweza kufanikiwa kupitia kwa nyota wao Abdallah dakika ya 58.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages