LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 10, 2021

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA JOKATE MWEGELO HUREEEEEEEEE YAZIDI KUPAAAAAA


"Happy International Women’s Day from our Girls in Mhaga Village, Kisarawe. Hii sio shule ya kimataifa. Ila viwango vyake ni vya juu na ni shule ya serikali. Ni shule yetu ya kwanza ya wasichana ya Bweni hapa Kisarawe kijiji cha Mhaga ambayo kwa umoja wetu tulishirikiana katika kuijenga na kuweka historia hii. Serikali mwaka huu imetupa wanafunzi wa kike 83 wa Kidato cha Kwanza...

Mwaka uliopita tulikuja kwenu kwenye siku ya wanawake duniani kuwaomba mshirikiane na uongozi wa wilaya ya Kisarawe katika kujenga na kulea kikazi kipya cha watoto wa kike wataokuwa chachu kwa wenzao. Tumerudi kusema tumeianza ile safari. Uzinduzi rasmi utafanyika. Tunawashukuru sana," amesema  mwanamke mpambanaji, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo. 
#TokomezaZeroKisarawe
















No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages