LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

RC MAHENGE, VIONGOZI WA JESHI WAKAGUA MANDALIZI YA KUMUAGA RAIS HAYATI MAGUFULI DODOMA

Viongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakikagua ujenzi wa banda ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya wananchi kumuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Oktoba 28, 2020 ndipo  alipoapishwa kushika kipindi cha pili cha uongozi wake.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Jukwa kuu likisafishwa
Ujenzi ukiendelea


Mpambaji akiendelea na kazi yake
Ujenzi wa mabanda nyuma ya uwanja ukiendelea
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge akizungumza na wajumbe wa kamati za maandalizi walipokuwa wakikagua maendeleo ya maandalizi kwenye Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya kutumika na wananchi wa Dodoma kumuaga mpendwa wao, Hayati John Magufuli Jumatatu Machi 22, 2021.
RC Mahenge na timu yake wakiendelea kukagua ujenzi wa uzio kuzunguka uwanja wa Jamhuri







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages