LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 20, 2021

RC MAHENGE ATANGAZA RATIBA YA KUWASILI, KUUAGA MWILI WA RAIS HAYATI MAGUFULI DODOMA+video


 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge akitangaza ratiba ya kuwasili na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. John Magufuli Makao Makuu ya Tanzania Machi 21, 2021 ukitokea jijini Dar es Salaam.

Mwili utawasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma majira ya saa 10 jioni, utapita barabara ya Chako ni Chako, Barabara ya Nyerere, Round About ya Jamatin Barabara ya Dodoma Morogoro na kuelekea Ikulu Chamwino. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video RC Mahenge akielezea mbele ya vyombo vya habari kwenye Uwanja wa Jamhuri kuhusu ratiba hiyo na utaratibu mwingine kuhusu siku hiyo ya kumuaga mpendwa wetu, mzalendo namba one, Hayari Dk. John Magufuli .... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages