LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 5, 2021

MBUNGE SICHALWE AIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI MGOGORO WA MWEKEZAJI NA WANANCHI MOMBA+video

Mbunge wa Jimbo la Momba, mkoani Songwe, Condester Sichwale, ameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa mwekezaji anayemiliki ardhi kubwa anayedaiwa kuwanyanyasa wananchi wa jimbo hilo.


Mbunge Sichalwe alitoa maombi hayo mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula katika kikao cha watendaji kilichofanyika hivi karibuni wilayani Momba.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mbunge Sichalwe akizungumzia jambo hilo na Naibu Waziri, Dk. Mabula alivyojibu...



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages